Baada ya mchezo huo kumalizika mashabiki waliojitokeza uwanjani hapo walilizunguka gari lililobeba wachezaji wakiwashukuru kwa juhudi walizozionyesha msimu huu licha ya kuambulia kombe la Mapinduzi pekee.
kuutumbukiza wavuni.
Katika hali ya kushangaza kiungo wa Simba anaeitumikia Mtibwa Sugar kwa mkopo alitolewa nje ya uwanja katika kipindi cha pili.
Bwalya alijiunga na Simba Agosti 2020 akitokea Power Dynamos ya Zambia kwa mkataba wa miaka mitatu.
Kanoute anavunja kuni, anakaba, anapiga pasi pia anafunga. Simba inaenjoy kuwa naye katika kikosi chake lakini ukiachana na yote hayo,
Kutokana na akili kubwa ya mpira aliyokuwa nayo ndio sababu kubwa inayomfanya aweze kucheza maeneo tofauti uwanjani na ndicho kilichoivutia zaidi Simba.
Chumba cha KandandaTz kimeangazia wachezaji muhimu ambao klabu ya Yanga inatakiwa kufanya maamuzi. Hii scout ya bure ya kibabe.
Mchakato wa mchujo unaendelea na tunategemea utakamilika ndani ya wiki mbili zijazo
Kuna wanawake ambao hawawezi kucheza mpira lakini wanatengenezewa mazingira ya kuuongoza mpira, kuwa waamuzi kwenye mpira, kuwa madaktari,
Hawachelewa kufika kwenye Prime. Wanatakiwa kuwa na UAMINIFU pamoja na UVUMILIVU ili wafike kwenye matamanio yao
Vijana wa Juma Mgunda walipaswa wajilaumu wenyewe kama wangepoteza mchezo huo kwani walitengeneza nafasi kibao za wazi