Ni utaratibu wetu kusheherekea na wafungaji mabao mengi kila mwezi, mechi za mzunguko wa 26 na 27 zitaamua nani atakuwa galacha wa magoli mwezi huu wa nne.
Lakini baada ya ujio wa Morrison mashabiki wa Yanga wamekua wakisikika wakisema nawao wamepata Deo Kanda wao, kwa maana wamepata kiungo mahiri wa pembeni mwenye uwezo kama wake.
Yanga yaishukuru SMZ kwa kuandaa mashindano ya Mapinduzi. Hapo kabla mhamasishaji wa klabu hiyo alinukuliwa akisema Yanga haina shida na makombe. Kwa barua hii inamaanisha kuwa mhamasishaji huyo ulimi uliteleza. Yanga ilitolewa kwa mikwaju ya penati dhidi ya Mtibwa. Fainali ya Mapinduzi itapigwa kati ya Simba Sc na Mtibwa Sugar...