Kwani Makambo kauzwa bei gani?
Hii ni biashara kubwa sana, biashara ambayo imenifanya nijifikirishe leo asubuhi kama pesa za Makambo , Yanga wamezipata au la!.
Hii ni biashara kubwa sana, biashara ambayo imenifanya nijifikirishe leo asubuhi kama pesa za Makambo , Yanga wamezipata au la!.
Nigeria imetolewa katika hatua ya nusu fainali na timu ile ile iliyomfanya kibarua kiote nyasi.
Usajili wa klabu ya Simba unaendelea, ambapo leo kupitia mitandao yao ya kijamii wamedhibitisha kumpa mkataba mpya beki wao wa kulia Shomari Kapombe.
Wakati watu wengi wakiamini Juma Kaseja ni shabiki wa Simba Sc kutokana na yeye kucheza kwa muda mrefu katika klabu hiyo ya Kariakoo.
Baada ya mechi hiyo mijadala ilikuwa kwanini Juuko Murshid kutokupewa nafasi kubwa kwenye kikosi cha Simba wakati ni beki mzuri.
Kama ambavyo wengi wetu tunavyosema kuwa michuano ya Afcon ya mwaka huu tumeenda kujifunza na siyo kushindana. Basi kuna vitu ambavyo tunatakiwa kuvichukua kama fundisho.
Jana tulikuwa na mechi ya kwanza ya mashindano ya Afcon baada ya kukaa miaka 39 bila kushiriki michuano hii mikubwa barani Afrika.
Kelvin aliondolewa katika awamu ya mwisho ya mchujo kupata wachezaji 23. Kuitwa pia kwake kumemuongezea nafasi ya kupata timu nje.
Tetesi hizi zimetua katika meza ya Uhamisho ya Kandanda, endelea kufuatilia kujua hatma yake.
Chirwa alijiunga na Azam Fc akitokea klabu ya Yanga, bao lake katika fainali ya FA liliipa nafasi Azam kwenda Shirikisho.