Ni mapema kwa Manchester United kukitupa kinanda cha Sanchez
Matumaini yao makubwa yalikuwa kumuona Sanchez akifanya vizuri ndani ya jezi hiyo lakini kwa bahati mbaya hakufanya vizuri.
Matumaini yao makubwa yalikuwa kumuona Sanchez akifanya vizuri ndani ya jezi hiyo lakini kwa bahati mbaya hakufanya vizuri.
Katika mabadiliko yajayo ya katiba na uendeshwaji wa Yanga, tunataka kujua pia mtazamo wa mashabiki wa Yanga.
Mane atacheza mechi mbili zitakazobaki baina ya Algeria na ya mwisho dhidi ya Kenya.
Golikipa huyo aliyevunja mkataba wake na Yanga kutokana na kutomaliziwa pesa zake za usajili, hali hii ilimfanya agomee mazoezi na Yanga.
Muda mrefu umepita tangu Juma Kaseja asiwe mmoja wa wachezaji wa timu ya taifa. Leo hii Tanzania inamshuhudia Aishi Manula kama golikipa namba` moja wa timu ya taifa.
Safari yake ni ya kishujaa , toka akiwa TP Mazembe na akafanikiwa kushinda taji la ligi ya mabingwa barani Afrika.
Hati inayoshikiliwa na wazee wa Simba haiwezi kuzuia mabadiliko katika klabu hiyo. Bwana Magori.
Nani unadhani anaweza kuchukua nafasi hii? Kandanda tunadhani Oscar Mirambo anaweza iongoza vema, soma utupe maoni yako pia.
Kumekuwa na taarifa za ndani kuwa Mtendaji mkuu wa Simba , Magori kuondoka Simba. Hiki ndicho Kandanda inatambua…
Simba inaendelea kufanyia kazi mapendekezo ya kocha wao mkuu, na imeshaanza usajili wa kuleta ushindani msimu ujao.