KandandaChat

TUANDIKIE TUKUWEKEE KWENYE TOVUTI Wewe ni Shabiki wa Kandanda? Unaandika makala? Iwe kwaajili ya Timu yako ya Nje au Ndani! Au maoni yako tu. Tutumie habari@kandanda.co.tz tutaihariri na kuiweka katika tovuti ya kandanda.co.tz #KandandaChat
Ligi Kuu

Yondani na Haji Manara waadhibiwa na TFF

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Kamati ya Saa) katika kikao chake cha Mei 1, 2018 chini ya Mwenyekiti wake Bw. Clement Sanga ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom, na malalamiko ya klabu za Yanga na Arusha FC na kuyafanyia uamuzi. Mechi namba 199 (Mbeya City 1...
Blog

Arusha FC yajinyakulia pointi tatu na bao tatu za mezani.

Kamati imeipa Arusha FC ushindi wa pointi tatu na mabao matatu baada ya African Sports kuchezesha wachezaji wawili waliotumia leseni za kughushi (non qualified) katika mechi ya Kundi B Ligi Daraja la Pili (SDL) kati ya timu hizo iliyochezwa Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Uamuzi huo dhidi ya African Sports...
1 5 6 7
Page 7 of 7
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.