Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Nililogwa wakati nikiwa Yanga -JUMA BALINYA

Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga ambaye alisajiliwa msimu huu na kutemwa msimu Juma Balinya amedai kuwa wakati yuko Yanga kulikuwa na michezo ya kishirikina aliyofanyiwa na wachezaji wenzake. Mchezaji huyo ambaye alikuja Yanga akiwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda , amedai kuwa kuna baadhi ya wachezaji ambao walikuwa wanafanya...
Blog

Sababu kwanini BENO KAKOLANYA ni bora kuzidi AISHI MANULA

Simba kwa sasa ina walinda milango wawili ambao wanaonekana ni bora sana, Beno Kakolanya ambaye alisajiliwa na Simba akitokea Yanga , pamoja na Aishi Manula ambaye amekuwa na kikosi kile cha Simba kwa muda sasa hivi , kiufundi tumejaribu kutazama nani bora kati yao na tumekuja na sababu kadhaa zinazombeba...
Blog

Simba yamtema Mbrazil Galasa !

Leo kulikuwa na mkutano wa waandishi wa Habari na klabu ya Simba ambapo msemaji wa klabu hiyo pamoja na mtendaji mkuu wa klabu hiyo walikuwa wamazungumza kuelekea kwenye mechi ya watani wa jadi,  kwenye mkutano huo kuna mengi yamejitokeza. Moja ya kitu ambacho mtendaji mkuu wa Simba alikitolea ufafanusi nitetesi...
Blog

Rasmi njaa yaisha YANGA , wachezaji kunenepa!

Baada ya kupitia nyakati ngumu , klabu ya Yanga kwa sasa iko kwenye nyakati za Neema. Yanga ilikuwa imeshindwa kulipa mishahara kwa wachezaji wake mpaka kufikia wakati wa baadhi ya wachezaji kuandika barua za kuomba kuvunja mkataba kutokana na kutolipwa. Kupitia kwa Afisa Mhamasishaji wa Yanga , Antonio Nugaz kwa...
Blog

Zahera hana huruma, apania kuwafilisi YANGA

Muda kadhaa umepita mpaka sasa hivi tangu Yanga ilipoamua kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Mwinyi Zahera kutokana na timu kutofanya vizuri katika michezo ya kimataifa Baada ya kutolewa na Pyramid FC ya Misri. Baada ya kuachana na Yanga Mwinyi Zahera alikuwa bado anawadai Yanga haki zake na...
1 2 3 4 64
Page 2 of 64
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz