Taarifa mpya ni kuwa beki mkongwe Kelvin Yondani anaweza kurejeshwa kikosini baada ya kuanza mazungumzo mpya na uongozi wa Yanga Yondani na Juma Abdul walikuwa katika mpango wa kikosi cha Yanga kuelekea msimu ujao hata hivyo wachezaji hao waligomea ofa walizopewa awali na hivyo kuruhusiwa wakatafute changamoto mahali pengine Inaelezwa...
Aliyewahi kuwa mkurugenzi mtendaji wa klabu ya Simba Senzo Mbatha amerudi Tanzania akitokea nyumbani kwao Afrika kusini. Mtandao huu ulikuwepo uwanja wa Taifa pamoja na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali kumpokea Senzo Mbatha. Senzo Senzo Mbatha anaenda kuwa mkurugenzi mtendaji kivuli wa klabu ya Yanga. Alipoulizwa anachukuliaje kitendo cha...
Akajawa na hasira zisizoumiza, nguvu ya kupambana ikatawala misuli yake, akili na ubunifu wa kusakata kandanda ukajaa akilini kwake, kilichofuata hapo ni historia.
Pamoja na hayo, Maligana amewasisitizia vijana na wamiliki wa timu mbalimbali kuendelea kuchangamkia fursa kupitia tovuti ya https://pma.bet/amshandoto ili kusudi wapate kufikiwa kwa uwepesi.
Mwaka 2016, klabu hii yenye makombe mengi kuliko klabu yoyote Tanzania ilikumbwa na ukata baada ya aliyekuwa bwanyenye ama tajiri wa chama hilo bwana Yusuph Manji kuamua kuachana na timu hii pendwa nchini Tanzania.
Tupilia mbali mbwembwe za mashabiki wa Arsenal sijui Lacanyavu,Auba,Xhaka boom, na wengine, hapo 2013 dunia ilizizima baada ya Mesut Ozil kutua rasmi kwa washika mtutu wa pale London.
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz