la liga

la liga

Barcelona ndio mabingwa wa LaLiga.

Baada ya kushuhudia klabu ya soka ya Juventus ikitawazwa bingwa wa ligi kuu ya Italia kwa mara ya nane mfululizo mwishoni mwa Juma lililopita, inawezakana Barcelona nao wakatangazwa mabingwa wa ligi kuu Uhispania usiku huu. Barcelona ambao usiku wa kuamkia leo wamefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Alaves...
eplla ligaserie aUEFA

England ndiye mfalme wa Ulaya.

Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi, nchi moja imefanikiwa kuingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya, baada ya usiku wa kuamkia leo Liverpool kuungana na Manchester United, Tottenham Hotspurs na Manchester City kwa ushindi wa mabao 3-1 ugenini dhidi ya Bayern...
la ligaUEFA

Zidane azima ndoto za Ronaldo kurejea Madrid.

Kocha mpya wa Real Madrid Zinedine Zidane amezima ndoto za mashabiki wengi kumuona Cristiano Ronaldo anarejea kwenye klabu hiyo baada ya hapo jana Zidane kutangazwa kocha mpya ikiwa ni miezi 10 tu toka atangaze kuachia ngazi kwenye klabu hiyo. Zidane alipoulizwa kuhusu uwezekano wa Ronaldo kurejea Real Madrid amesema kwa...
1 2 3
Page 1 of 3
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz