La Liga

La LigaMabingwa Ulaya

Zidane azima ndoto za Ronaldo kurejea Madrid.

Kocha mpya wa Real Madrid Zinedine Zidane amezima ndoto za mashabiki wengi kumuona Cristiano Ronaldo anarejea kwenye klabu hiyo baada ya hapo jana Zidane kutangazwa kocha mpya ikiwa ni miezi 10 tu toka atangaze kuachia ngazi kwenye klabu hiyo. Zidane alipoulizwa kuhusu uwezekano wa Ronaldo kurejea Real Madrid amesema kwa...
La Liga

Antonio Conte aongoza mbio za kumrithi Julen Lopetegui

Aliyekua meneja wa klabu ya Chelsea Antonio Conte, anatajwa kuwa katika orodha ya makocha wanaopewa nafasi ya kuajiriwa na uongozi wa mabingwa wa soka barani Ulaya Real Madrid. Jina la meneja huyo limechukua nafasi ya juu kwenye orodha hiyo, kufuatia joto la kufukuzwa kwa mkuu wa benchi la ufundi klabuni...
BlogLa Liga

Vidal atoa la moyoni, hafurahii kukaa benchi.

Kiungo Raia wa Chile anayekipiga katika timu ya soka ya Barcelona na nchini Uhispania Arturo Vidal amesema hafurahii kuwekwa benchi katika mechi msimu huu toka ajiunge akitokea Bayern Munich. Vidal ambaye ameanza katika mechi mbili tu mpaka sasa pamoja na hilo pia amecheza akitokea benchi mara mbili, amesema jambo hilo...
La Liga

Rais wa Real Betis ajitabiria kuwa klabu kubwa Hispania.

Rais wa Klabu ya Real Betis, Angel Haro, amesema anaamini klabu hiyo ni miongoni mwa klabu zinazokuwa kwa haraka na kwamba wameshaanza kutambua nafasi yao kama klabu inakua kwa kasi. Angel Haro ameyasema hayo baada ya klabu hiyo maarufu kama Los Verdiblancos kuwafunga Sevilla bao 1-0 kupitia kwa Joaquin Sanchez...
1 2 3 4
Page 2 of 4
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.