ASFC

ASFC

Ni nusu fainali yenye gundu?

Waswahili hutumia neno "Gundu" kwa kuashiria bahati mbaya, kukosa bahati ama mkosi, ndicho unachoweza kusema kwa timu zote mbili Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa nusu fainali wa Azam Sports Federation Cup.
ASFC

TFF yaongeza waamuzi mechi ya Simba

Baada ya sintofahamu kutokana na maamuzi mbalimbali ya marefa wetu hapa nchini TFF imeamua kuongeza idadi ya waamuzi watakaochezesha mchezo wa robo fainali ya Azam Sports Federation Cup.
ASFC

SIMBA ndiyo Baba lao, yaifunika YANGA

Leo Simba imeonesha kuwa ndiyo baba lao Baada ya kuifunga Arusha United kwenye uwanja wa Uhuru , uwanja ambao jana ulitumika kwenye mechi dhidi ya Yanga na Iringa United.   Kwenye mechi ya Jana Yanga wakifanikiwa kushinda kwa magoli matatu ( 4) kwa bila (0) , huku magoli matatu (3...
ASFC

Ajib afunga goli lake la kwanza, Chama afufuka!

Baada ya Jana kushuhudia Yanga wakishinda goli 4-0 dhidi ya Iringa United kwenye uwanja wa Uhuru , leo hii tumeshuhudia Simba katika kipindi cha kwanza wakienda huku wakiwa wanaongoza kwa goli 4-0. Magoli manne (4) ya Yanga yalipatikana katika kwenye vipindi vyote , ila mpaka muda huu wa mapumziko Simba...
1 2 3 4
Page 1 of 4
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz