Yanga SC vs Azam FC
Yanga na Azam wapo katika mchuano mkubwa wa kuwania nafasi ya pili katika msimamo wa VPL. Yanga katoka kupata sare dhidi ya JKT na Azam mchezo wa mwisho amepata ushindi mbele ya Mbao fc.
Simba SC vs Mwadui FC
Mwadui fc wapo katika hatihati ya kushuka daraja huku wakitoka kupoteza mchezo dhidi ya Yanga wanakwenda kukutana na Simba inayotafuta alama 13 tu ili kutangazwa mabingwa.
Mwadui f ndio timu ya kwanza msimu huu kuifunga Simba walipolitana katika mchezo wa raundi ya kwanza.