Wilker H. da Silva

Mshambuliaji raia wa Brazil, Wilker Henrique da Silva akisaini mkataba wa miaka miwili kuchezea klabu ya Simba Sc.

Gerson F. Vieira

Mchezaji kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka miwili na Mabingwa wa nchi.

Sven Vandenbroeck

Sven Vandenbroeck amechukua nafasi ya Mbelgiji mwenzake Patrick Aussems ambaye alitimuliwa hivi karibuni.

Luc Eymael

Kocha wa Yang mwenye uraia wa Ubelgiji yupo mbioni kutambulishwa, huu ni ukurasa wake katika tovuti yetu.

Stori zaidi