AFCONSio tu Kufuzu Lakini Tumeionyesha Afrika Rangi Nne!Tigana Lukinja8 months agoMada kuhusu kupeperusha bendera yetu pale Ivory Coast ndio imeanzia hapa na sisi tunasimama nayo.
AFCONKapombe na Tshabalala wamerudi bwanaMwandishi Wetu1 year agonafasi zao zilizibwa na Dickson Job na Novatus Dismas ambao kiasili si walinzi wa pembeni licha ya kucheza vyema katika mchezo huo wa ugenini.
AFCONKikosi cha Stars Feisal ndani, Kapombe na Tshabalala hawamo.Mwandishi Wetu1 year agoAdel Amrouche aliyetangazwa hivi karibuni kupewa mikoba ya Stars amewajumuisha wachezaji wengi wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi akichanganya na baadhi wanaocheza Ligi ya ndani.
StoriTFF yamtangaza kocha Mbelgiji kuinoa StarsMwandishi Wetu1 year agoLakini pia anaongea kwa ufasaha lugha za Kiarabu, Kingereza na Kiswahili na hivyo kuwa rahisi kuwasiliana na wachezaji wake.
Shirikisho AfrikaKocha wa Libya abwaga manyanga siku Mbili kabla ya kuumana na Nigeria.Issack John6 years agoKocha mkuu wa timu ya Taifa ya Libya Adel Amrouche amejiuzulu nafasi yake ikiwa ni siku chache kabla ya kukutana...