CAF ya Ahmad Ahmad mikononi mwa FIFA
CAF hivi karibuni imekumbwa na tuhuma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya rushwa.
Ahmad Ahmad akamatwa Ufaransa
Taarifa hizi zimethibitishwa na FIFA, lakini hakuna sababu za wazi za kukamatwa kwake
Malipo kwa Karia yaliidhinishwa!
Kitu muhimu cha kujiuliza, pesa hizo zimefanya nini katika soka letu? Majibu pia utayapata hapa hapa.
CAF yalia na waandishi wazushi, ni ishu ya Rais Ahmad.
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limekanusha taarifa zilizokuwa zikizagaa mitandaoni na kwenye vyombo mbalimbali vya habari barani Afrika kuwa...