Shirikisho AfrikaUkweli ni kwamba Simba uwezo wao ni robo fainali!Mwandishi Wetu2 years agoUmemfikiria Luis Miquissone ??umemfikiria Clotaus Chama?? umemfikiria Okwi?? unawafikiria lakini?? nauliza umewafikiria hao watu,je? ni team gani Tanzania wachezaji hao watakaa benchi??
Shirikisho AfrikaNjoo utimize ndoto yako kwa Mkapa!Thomas Mselemu2 years agoTwenzetu kwa Mkapa tukaendee kuziishi ndoto zetu ambazo Simba wanazifanya kuwa kweli, twende kwa Mkapa tukaone tamu na chungu.
Shirikisho AfrikaCAFCC: Mtibwa Sugar waendelea na mawindo dhidi ya KCCA.Issack John5 years agoKocha wa makipa wa timu ya soka ya Mtibwa Sugar Patrick Mwangata ameeleza kwamba wanaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo...