Carlinho ana mkataba wa miaka 2 na Yanga
Baada ya habari nyingi kusambaa kuhusu Carlihno kuwa na mkataba wa miezi 6, Yanga wamekanusha habari hizo.
Carlinhos na sura yenye manufaa kwa Yanga
Binafsi nawapangeza Yanga kwa kufanikisha usajili wake kwani ni mchezaji atakayeinufaisha timu hio katika nyanja mbali mbali ikiwemo hizi tatu.