Simba ipo mgongoni mwa CHAMA
Magoli ambayo yameifanya Simba kuingia hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Africa. Ndiye bosi halali wa kikosi cha Simba kwa sasa.
Natamani CHAMA asome kitabu cha NONDA
Ardhi yetu inakila aina ya baraka, ina kila aina ya uzuri. Kwa kifupi nchi yetu imebarikiwa sana. Kuna vingi sana...
Simba ‘yaua’ MTU!
Dakika nane pekee ndizo ambazo ziliwachukua Simba kufunga goli la kwanza kupitia kwa John Raphael Bocco. Goli hili lilidumu kwa...
CHAMA amekuja kuua “UFALME” wa NIYONZIMA!
Kabla hata hajavaa jezi ya Simba alikuwa tayari mfalme! , Mfalme wa burudani uwanjani, Mfalme ambaye wengi walikuwa wanaamini kuwa...
Namkumbuka “MAFISANGO” Kila nikimuona “CHAMA”.
Niliwahi kumshuhudia Patrick Mafisango, macho yangu hayakujutia hata mara moja kila taswira yake ilipokuwa inapenyeza kwenye mboni ya jicho langu....
Kwanini Chama hapigi mashuti?
NIMEMFUATILIA kiungo mshambulizi wa Simba SC, Mzambia, Claytous Chama katika michezo kadhaa na kugundua mchezaji huyo wa timu ya Taifa...