Parimatch yafanya maboresho, yaja kibabe na mfumo mpya
Wapenzi wa kubashiri taarifa hii iwafikie muda huu wakati Ligi zikianza kurudi, anza kunoa vidole vyako Parimatch hii hapa.
Hazard aanza rasmi dhidi ya Levante.
“nina furaha kwa sababu naweza kucheza na hata kupata ushindi.. ukitoka majeruhi ni vigumu sana kuwa na kasi yako iliyoizoeleka lakini kikubwa kwangu ni ushindi
Mechi ya Kirafiki: Simba SC 4-5 Sevilla FC
Fuatilia dondoo mubashara hapa zikiletwa kwenu na Thomas Mselemu na Martin Kiyumbi moja kwa moja kutoka uwanja wa Taifa. Jiunge na mjadala na kuipongeza Simba SC kwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu.
Hivi ndivyo Coutinho atacheza FC Barcelona
Jana Barcelona wamefanikiwa kukamilisha vipimo vya Phillipe Countinho. Hivo rasmi ni mchezaji wa Barcelona , anachosubiri ni kukabidhiwa namba ya...