Jamie Vardy avunja rekodi ya Drogba!
Ligi kuu ya England imemalizika leo kwa kushuhudia Liverpool kubeba imebeba taji lake la kwanza baada ya miaka 30 ,...
Arsenal kupoteza washambuliaji wake wote?
Wawili hao kwa pamoja wameifungia Arsenal mabao 24 Laccazete (7) na Aubameyang (17) huku akiwa juu ya msimamo wa wafungaji bora.