Kwaupande wake Nahodha wa KMC FC Sadalah Lipangile amesema kama wachezaji wanatambua umuhimu wa mchezo huo huku akiwasihi mashabiki kutokukata tamaa kwasababu bado wana nafasi ya kufanya vizuri
Mpaka sasa KMC inashika nafasi ya 19 ikiwa imecheza michezo 24 ikiwa na alama 21. Mchezo unaofwata katika VPL ni KMC dhidi ya Simba katika uwanja wa Taifa.