Makapu: Kitabu bora katika maktaba ya Yanga!
Ni Luc Eymael kocha Mbeligiji aliyezama maktaba ya Yanga na kukichukua kitabu hicho bora (Makapu).
Wachezaji watano wa Yanga wasiostahili kuwepo msimu ujao
1: Nadir Haroub "Cannavaro". Hapana shaka Jangwa la kariakoo ni tofauti na ma Jangwa mengine. Ukame ndiyo sifa pekee ya...