BlogSure Boy! Afisa mipango wa asili dimbani!Ze Mafia2 years agoKandanda likiwa kwake jua tayari mipango imeanza, kushoto, kulia, mbele, nyuma kote anakua ashatizama huku akili yake ikifanya kazi kwa wepesi.