Wakiondoka na ndege ya Shirika la ndege la Tanzania "Air Tanzania" msafara huo umeonekana ukiwa na hamu kubwa ya kurudi na kombe la ubingwa wa Shirikisho
Shirikisho la kandanda nchini (TFF) limeikana sauti inayosambazwa mitandaoni akisikika Rais Wallace Karia akitangaza kufungiwa kwa mkuu wa kitengo cha...