archiveDar es Salaam

Simba SC vs Stand United

Huku ikiwakosa washambuliaji wake muhimu, Simba inaingia mchezoni kutaka kuendeleza ubabe dhidi ya Stand utd ili kuendelea kujiimarisha kileleni mwa ligi. Huku tumaini lao likiwa kwa Nicholas Gyan na Laudit mavugo kwenye ushambuliaji

Young Africans SC vs Majimaji FC

Mabingwa watetezi, Yanga, wanarudi uwanjani tena katika majukumu ya ligi kuu Tanzania bara, baada ya ushindi wa bao 1-0 katika klabu bingwa afrika. Ushindi kwao katika mechi hii ni muhimu ili kupunguza tofauti ya pointi kati yake na mtani.
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.