Kocha wa SIMBA ana kiburi , Mkorofi !
Simba wameshaachana na Patrick Aussems , Ndoa yao….Stori zaidi.
Simba wameshaachana na Patrick Aussems , Ndoa yao….Stori zaidi.
Maisha yanatupa nafasi muda kutupa nafasi sisi….Stori zaidi.
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imemwachia huru aliyekuwa….Stori zaidi.
Hapa unaweza husika au usihusike ila mzigo wote utakudondokea tu. Aussems alimtaka Kotei pia
Tayari Simba walishavunja ndoa yao na Patrick Aussems , ndoa ambayo imedumu kwa kipindi cha msimu mmoja na robo.
“Wanapanga kuturudisha nyuma ndiyo maana maamuzi yao ni mabovu, tulipanga tushinde back to back lakini mwamuzi katurudisha nyuma katika mchezo wa leo”.
Inadaiwa moja ya sababu ya Simba kuachana na Patrick Aussems ni yeye kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kuifundisha Polokwane City.
Simba waliachana rasmi na kocha wao Patrick Aussems baada ya kushindwa kufiki malengo yako. Kandanda inakuangazia nani anaweza chuku nafasi yake.
Hivi karibuni kulizuka maneno kuhusu Kuondoshwa kwa kocha huyo katika kikosi cha Simba St