Simba walibahatisha kuifunga Ruvu!?
Simba walifanikiwa kuitandika Ruvu bao 3-0 katika mchezo wa Ligi kuu Bara
Simba walifanikiwa kuitandika Ruvu bao 3-0 katika mchezo wa Ligi kuu Bara
Hiki kitu hakipo kwetu , hatuna Frank Lampard wetu au Cesc Fabregas wa kujivunia.
Taifa Stars ilianza kampeni yake ya kuelekea AFCON 2021 kwa ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Guinea ya Ikweta.
Yanga waliachana na Mwinyi Zahera baada ya matokeo mabovu ya klabu hiyo.
Mtu ambaye ana kiwango cha kawaida sana kuchezea Yanga. Yanga inahitaji washambuliaji ambao wanatumia nafasi vizuri ili kuisaidia timu.
Shirikisho la Soka Ulimwenguni, FIFA, limempiga faini ya dola za kimarekani 503,169.50 (sawa na bilioni 1.2) Jamal Malinzi, Rais wa zamani TFF, baada ya kupatikana na hatia ya kutumia vibaya fedha kutoka shirikisho pamoja na ‘kufoji’ nyaraka.
Mtandao wa Kandanda leo umemkabidhi zawadi zake mshambuliaji wa klabu ya Simba, Meddie Kagere, baada ya kuifungia klabu hiyo mabao sita (6) katika ligi ya Vodacom Tanzania bara mwezi Agosti-Septemba.
Maahabiki wa Yanga sasa waambiwa watulie tu kwanza, timu yao ilikuwa si ya Kimataifa.
“Kwa sasa acha yabaki maneno ya mitandaoni lakini..”.
Yanga haina matokeo mazuri katika mechi ilizocheza.
Mwinyi Zahera amesajili wachezaji wapya wengi sana. Katikati kikosi chake cha sasa wachezaji wa zamani hawazidi wanne ambao huanza kikosi cha kwanza cha Mwinyi Zahera.