Yanga inavyojidanganya kuifunga 3-0 PYRAMID FC
Rekodi zake tu zinakinzana na maneno yake, tazama hapa.
Rekodi zake tu zinakinzana na maneno yake, tazama hapa.
Kesho Yanga watawakaribisha Pyramid FC ya Misri kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.
Wewe je mwanakandanda unaamini uwekezaji mkubwa katika mpira wa miguu sio chachu ya mafanikio? Soma hii kwanza…
Leo katika mitaa ya Gerezani , Kariakoo jijini Dar es Salaam kulikuwepo na tukio la kuwakabidhi wachezaji wa Simba zawadi
Mambo yanaendelea kupamba moto katika jiji la Mwanza.
Kuna maeneo muhimu ambayo Pascal Wawa aliyatimiza vizuri jana na kumfanya aonekane kama ni nyota wa mchezo wa jana.
Tatizo lilikuwa uzito , na kwa sasa amepungua kwa asilimia kubwa kwa hiyo kuanzia kesho David Molinga ataanza rasmi ligi kuu
Leo hii Yanga inahangaika kuunda kamati za hamasa huku wakiwaza Haji Manara kama mtu anayeleta hamasa kitu ambacho siyo kweli.
Anaweza kuwa msemaji mwenye mbwembwe nyingi kuwahi kutokea katika sola la Tanzania
Taifa Stars itacheza mchezo wa marudiano dhidi ya Sudan nchini Sudan baada ya awali kuwepo taarifa ya mechi kuchezwa katika uwanja wa Nambole jijini Kampala nchini Uganda.