Tunachohitaji ni ubingwa kwa haraka zaidi- Patrick Aussems.
Harakati za Simba kumaliza viporo vyake katika kanda ya Ziwa inaendelea tena leo baada ya kucheza mechi tatu katika ƙanda hiyo.
Harakati za Simba kumaliza viporo vyake katika kanda ya Ziwa inaendelea tena leo baada ya kucheza mechi tatu katika ƙanda hiyo.
Niyonzima ameonekana kuwa na kiwango kizuri baada ya kuwa anaanza katika kikosi cha Simba.
Unakumbuka tukio la Haji Manara kwenda na TV kwenye mkutano wa waandishi wa habari(press conference?)
Hawa mashabiki wanaojitolea kwenye kila hali ndiyo wana pesa zetu. Yajengwe mazingira mazuri ya kuwashawishi watoe pesa zao mfuƙoni kwa wingi.
Masoud Djuma alikuwa kipenzi kikubwa sana katika kikosi cha Simba kabla ya kuachana na Simba
Ukitazama mchezaji mmoja mmoja Simba wana wachezaji ambao ni bora kuzidi Alliance.
Sintofahamu hiyo ilianza baada ya Beno Kakolanya kugoma kushinikiza madai ambayo alikuwa anawadai Yanga
Tumejifunza na tunataka kuwaonesha Simba kwa sasa uwanja huu na tutafanya vizuri kwenye mechi hii inabidi wajiandae.
Hili ni eneo ambalo Ammy Ninje ameahidi kulifanyia Kazi. Watahakikisha kuwa wanawekeza kuangalia vipaji bora ili viwepo kwenye timu.
Katumbi amerejea katika nafasi yake ya urais wa klabu hiyo baada ya kuishi uhamishoni kwa miaka.