Niyonzima YUHAI, atajiua na kujizika mwenyewe tu!.
Wakati natazama mechi ya mwisho ya Cesc Fabregas akiwa na uzi wa Chelsea kitu cha mwisho kuja katika akili yangu ni sura ya Haruna Niyonzima.
Wakati natazama mechi ya mwisho ya Cesc Fabregas akiwa na uzi wa Chelsea kitu cha mwisho kuja katika akili yangu ni sura ya Haruna Niyonzima.
Michuano ya Mapinduzi inaendelea huko Zanzibar
Ajib amefanya vizuri sana kwa mwaka 2018, mpaka sasa anaongoza kwa kutoa pasi za mwisho zilizozaa goli.
Hello. Kheri ya mwaka mpya rafiki yangu. Nimekukumbuka sana , nimekumbuka vingi ambavyo tulikuwa tunazungumza
Mkude pia ametajwa na tovuti hii kuwania uchezaji Bora wa 2018. Unaweza tazama na kupiga kura.
Hawa waliwahi kuwa mhimili wa timu ya Simba, ndiyo hawa ambao walihakikisha timu inafunga na timu inatengeneza nafasi nyingi za magoli.
Ulimwengu wa mpira umebadilika sana. Umekuwa ulimwengu ambao unatumia sayansi kubwa sana ndani ya mpira.
Tulimwamini sana, tulimpa kila kitu. Mioyo yetu ilimpa mahaba yote. Kibaya zaidi tulimwamini kuliko mtu yeyote kwa sababu tu 3-5-2.
Simba walifanikiwa kufuzu hatua ya makundi, lakini moja ya mashujaa walioibuka katika mchezo huo ni kiungo wa Simba, Chama.
Magoli ambayo yameifanya Simba kuingia hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Africa. Ndiye bosi halali wa kikosi cha Simba kwa sasa.