Lala salama ya TPL leo!

Kati ya timu sita zilizopanda mwaka jana ni timu za KMC, Coastal Union, Allince School ndio zipo salama huku Biashara, JKT Tanzania zikipambana kusalia Ligi Kuu Bara, African Lyon wao wameshashuka daraja tayari.

Simba Bingwa wa TPL

Tazama msimamo hapa baada ya ushindi wa mabao mawili kwa sifuri huku magoli ya Simba yakifungwa na Meddie Kagere dakika ya 10 na John Bocco dakika ya 60.

Stori zaidi