UEFA

UEFA

VAR yakatisha ndoto za Man City kubeba ndoo nne msimu huu.

Ndoto ya Manchester City ya kutwaa mataji manne msimu huu imezimwa usiku wa kuamkia leo baada ya kukubali kutolewa kwenye michuano ya ligi ya Mabingwa Ulaya na vijana wa Tottenham kwa bao la ugenini. Manchester City ambao tayari walikuwa na taji la kombe la Ligi, walikuwa na matumaini makubwa ya...
UEFA

Mancini: Balotelli bado hajawa fiti kuitwa timu ya Taifa.

Kocha wa timu ya Taifa ya Italia, Roberto Mancini amesema bado hajashawishika kumjumuisha mshambuliaji wa Marseille Mario Balotelli katika kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwenye fainali za Mataifa Ulaya mwaka 2020. Mancini amesema licha ya Balotelli kuwa katika kiwango kizuri lakini bado hajawa sawa...
eplla ligaserie aUEFA

England ndiye mfalme wa Ulaya.

Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi, nchi moja imefanikiwa kuingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya, baada ya usiku wa kuamkia leo Liverpool kuungana na Manchester United, Tottenham Hotspurs na Manchester City kwa ushindi wa mabao 3-1 ugenini dhidi ya Bayern...
UEFA

Imebaki Barcelona tu, historia iandikwe.

Inawezekana baada ya vilabu vya Uhispani kutawala kwenye ligi ya Mabingwa Ulaya kwa zaidi ya mwongo mmoja kwenye hatua ya robo fainali, Mwaka huu tukashindwa kabisa kuiona miamba hiyo ya soka kwenye hatua hiyo muhimu. Baada ya Valencia kuondolewa kwenye hatua ya makundi, tumeshuhudia Real Madrid wakitolewa na Ajax kwa...
1 2 3 5
Page 1 of 5
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz