Paulo Nonga

Paul John Nonga, moja ya washambuliaji makini kabisa katika ligi kuu Tanzania bara mwenye uzoefu wa vilabu vya Tanzania na ligi yake.