Aidha pia mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtazar Mangungu ameizungumzia Simba day ya mwaka huu huku pia akijinasibu kuwa wao ndio waanzilishi wa Tamasha hilo.
Aidha pia msemaji wa klabu ya Simba Ahmed Ally ametaja tarehe rasmi watakayozindua wiki ya Simba pamoja na kutaja timu watakayocheza nayo kutoka Zambia.
majeshi ya wapinzani yametangaza ushindi yeye anasimama na kuinyanyua bendera ya Simba juu akiamini wakati bora unakuja hivyo wasimame tena na kupigana kwani ushindi uko karibu.