Simba ya Lwanga na Benno kuelekea kisasi cha msimu!
Hivyo kuelekea mchezo wa nusu fainali ya FA ni wazi Simba atakua na kisasi cha kulipa kwa Yanga ili "ku-level scorebody".
Benno Kakolanya na majuto ya Dodoma na milioni 10.
Kakolanya atakua katika majuto makubwa kwake na familia yake kwa kuigomea Yanga akishinikiza apewe stahiki zake lakini akikosa nafasi adimu na kuandika historia.
Benno Kakolanya nae kumfwata Kessy!
Mlinda mlango huyo ameandika barua ya kuomba kuvunja mkataba.