Ukaguzi huo umehusisha Uwanja wa Benjamin Mkapa, Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Julius Nyerere, hospitali ya Taifa Muhimbili, Uwanja wa Uhuru, na viwanja vingine vya mazoezi.
Baada ya Singida Big Stars kumaliza nafasi ya nne na kujihakikishi nafasi ya kushiriki michuano ya Afrika mwaka huu imewalazimu kuungana na Fountaine Gate
TFF na maafisa wake wafanye matembezi na ukaguzi wa mara kwa mara viwanjani kuepuka ukiukwaji wa kimaagizo ya marekebisho wanapoyatoa kwa wamiliki wa viwanja.
Hata hivyo, kwa kuongezwa kwa Kombe la Dunia la FIFA kutoka timu 32 hadi 48, CAF itapata nafasi tisa, pamoja na taifa la ziada linaweza kufuzu kupitia Mashindano ya FIFA Play-Off
Kwa Tanzania sasa inatafuta kufuzu kwa mara ya tatu na mara ya mwisho kushiriki michuano hiyo ilikua ni mwaka 2019 ambapo tuliaga mashindano katika hatua ya makundi