archiveChelsea FC

Mabingwa Ulaya

Sarri atoa sababu za kumuweka benchi Eden Hazard.

Kocha wa klabu ya soka ya Chelsea Maurizio Sarri ametoa sababu za kumuanzisha benchi mshambuliaji wa pembeni wa timu hiyo Eden Hazard katika mchezo wa nusu fainali ya Uropa Ligi dhidi ya Eintracht Frankfurt ambapo uliisha kwa sare ya 1-1. Sarri amesema haikuwa busara kumuanzisha mchezaji ambaye amecheza karibu katika...
EPL

Ole: Mpeni muda Sanchez.

Kocha wa muda wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amesema anaamini kiwango cha mshambuliaji wake Alexis Sanchez kitaimarika licha ya kutupiwa lawama na mashabiki wake kutokana na kucheza chini ya matarajio ya wengi. Sanchez ambaye ni raia wa Chile alisajiliwa na Manchester United katika dirisha dogo la usajili mwaka jana...
Blog

Cole atangaza kutandika daluga.

Kiungo mshambuliaji Joe Cole ambaye amewahi kuhudumu katika timu ya Taifa ya England, na vilabu kama West Ham na Chelsea ametangaza kutandika Daluga baada ya miongo miwili ya kusakata kandanda. Cole mwenye umri wa miaka 37 amecheza zaidi ya mechi 700 kwenye maisha yake ya soka katika vilabu saba tofauti...
EPL

Cascarino: Kocha Sarri hajui kumtumia N’Golo Kante.

Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Tony Cascarino ameonesha kuchukizwa na mfumo wa meneja wa sasa wa klabu hiyo Maurizio Sarri, kwa kusema haumpi nafasi kiungo kutoka nchini Ufaransa N'Golo Kante, kucheza kama ilivyokua misimu miwili iliyopita. Cascarino ambaye aliitumikia Chelsea kuanzia mwaka 1992–1994 na kufunga mabao manane katika michezo...
EPL

Shearer awatoa Arsenal, Chelsea mbio za Ubingwa EPL.

Mshambuliaji wa zamani wa Newcastle United Alan Shearer amesema ligi kuu ya England ni kama ya mafarasi wawili kwa sasa licha ya baadhi ya timu kuendelea kufanya vizuri mpaka sasa mechi nane zikiwa zimeshachezwa. Shearer amesema ingawa alama ambazo zinawatofautisha timu tano za juu ni alama mbili lakini bado anaziona...
1 2 3
Page 1 of 3
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz