Shamte apewe muda, yule Msuva hatari! Unamuelewa Mao?
Hii hapa mpwa wangu nimekuletea zawadi hii kutoka Bujumbura kuhusu wachezaji walivyocheza, twende sasa..
Simba inahitaji Shujaa mpya ili kuishinda Vita!
Sio hao tuu lakini kina Wawa na Juuko wakati wa mipira ya adhabu na kona mkivitumia vichwa vyenu kwa ufasaha zaidi
Nani kuziba pengo la Jonas Mkude?
Je tumtegemee swaiba wake Said Hamis Ndemla kupewa eneo la kati na kulitendea haki?
Hassan Dilunga kuwakosa Mbao FC.
Kiungo mshambuliaji Hassan Dilunga na Beki wa pembeni Asante Kwasi wataukosa mchezo wa ligi dhidi ya Mbao FC utakaofanyika siku...
Dilunga alizamisha jahazi la Njombe Mji
Timu ya soka ya Njombe Mji italazimika kupata ushindi katika mchezo wao mwisho wa ligi ili kujihakikishia kusalia ligi kuu...