CLATOUS,KAHATA KUTUA WIKI IJAYO,SHARAAF BADO.
Kocha mkuu mkuu wa klabu ya Simba Sc….Stori zaidi.
Kocha mkuu mkuu wa klabu ya Simba Sc….Stori zaidi.
Kuhusu wachezaji ambao hawajafika aliwataja ni Chama , Kahata na Shiboub ambapo amedai kuwa kwa sasa wanafanya kila wawezalo ili kuhakikisha wachezaji hao wanawasili.
Simba walitoa ahadi kwa mashabiki wao siku ya Jumamosi yakumleta mchezaji mmoja kati yao walitajwa hapo ili kuungana na wachezaji wengine watakaoingia kambini Jumatano.
Klabu ya Simba ambayo itashiriki michuano ya ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao, inajiimarisha kuhakikisha inafanya vizuri zaidi.