archiveReal Madrid

la liga

Rekodi ambazo Ronaldo na Messi hawajawahi kuzivunja UEFA

Kuna vitu vingi wamevifanya, kuna rekodi nyingi wameziweka , rekodi ambazo zimewafanya wawe na mashabiki wengi duniani. Lakini kuna baadhi ya rekodi hawajawahi kuzivunja au kuzifikia na zinaonekana ni ngumu kwao kuzifikia hasa hasa kwenye michuano ya klabu bingwa barani ulaya. Juzi Ronaldo alifunga hat-trick yake ya 50 na kumuacha...
UEFA

Mambo 7 muhimu kuhusu mechi za nusu fainali UEFA

1:Kuna ligi tano bora ambazo UEFA wameziweka katika daraja la juu, Ligi kuu ya Hispania (La Liga) , Ligi kuu ya England (EPL), Ligi kuu ya Ujerumani (Bundesliga) , Ligi kuu ya Ufaransa (Ligue one) na Ligi kuu ya Italy(Seria A). Ni aghalabu sana kushuhudia ligi hizi zikitoa kila mmoja...
UEFA

Buffon nisome na kunielewa mimi

Kila mtu anamuonea huruma na kuna wakati mwingine huruma hizi zinaenda sambamba na sifa nyingi kuhusu kipaji chake. Golikipa aliyedumu kwa muda mrefu tena kwenye kiwango chake bila kutetereka, miaka 40 inasomeka kwenye paji lake la uso lakini anadaka mipira ya mashuti ya vijana wa miaka (20-29) Kuna wakati mwingine...
UEFA

Rekodi za Bernabeu zinavyoibeba Madrid

Baada ya kushuhudia vilabu vya Barcelona na Manchester city, vikitupwa nje ya michuano Uefa Champions League leo hii tutashuhudia Bayern Munich wakikaribisha Sevilla, lakini pia Real Madrid wataikaribisha Juventus ya Italia Juventus hawana rekodi ya kuridhisha wanapoingia kunako dimba la Santiago Bernabeu, katika michezo 8 waliyocheza kunako uwanja huu wameshinda...
la liga

Ni derby ya Madrid katika vita ya kuwania nafasi

  Leo kuna derby nyingine pale Hispania kunako ligi kuu ya nchini humo maarufu kama La Liga, ambapo Real Madrid watakuwa nyumbani Santiago Bernabeu kuwakaribisha wapinzani wao wa jadi Atletico Madrid Licha ya kuwa ni wapinzani wa jadi, lakini vita kubwa katika derby hii ni kuwania kumaliza kunako nafasi ya...
UEFA

Ronaldo alisimama kwenye ngazi ya Zidane

Timu zote zilikuwa zinacheza mfumo wa 4-4-2 lakini kwenye maumbo ya mifumo ndiyo zilikuwa zinatofautiana. Real Madrid ilikuwa inacheza 4-4-2 Diamond na Juventus ilikuwa inacheza 4-4-2 katika umbo la flat? Ronaldo akifunga bao Upi uimara na udhaifu katika mifumo hii kwenye mechi ya jana? Massimiliano Allegri alionekana kuzidiwa kwenye mbinu...
la liga

CR7 mwenye ahadi yake ya mwezi Novemba

Mengi yalizungumzwa sana mwanzoni mwa msimu huu ligi kuu Hispania maarufu kama La Liga, hiyo ni kutokana na ukame wa mabao aliokuwa nao mshambuliaji Cristiano Ronaldo na kutafsiriwa kuwa kiwango chake kimefikia tamati. Kwa sasa hali imeonekana kubadilika, mara baada ya mshambuliaji huyo wa Real Madrid kufunga mabao manne katika...
la liga

Miguu ya kina Ramos imebeba matumaini ya Real Madrid

Santiago Bernabeu, uwanja ambao ulikuwa na nyasi ambazo zilichagua ng'ombe wa nyumbani kupata malisho. Kutoka na ubabe wa ng'ombe ngeni tulitegemea kwa kiasi kikubwa ungemfanya amzidi ng'ombe mwenyeji Magoli matatu yalitosha kumpa pumzi ndefu mwenyeji, pumzi ambayo anaenda nayo ∆ôkatika uwanja wa Parc des Princes. Uwanja ambao umekuwa siyo salama...
la liga

Kwaheri fundi Ronaldinho Gaucho

Tarehe 21, Machi 1980 kunako mji wa Port Alegre nchini Brazil mtoto Ronaldo de Assis Moreirra alizaliwa, mzee Joao Moreirra na mkewe Bi Miguerina De Assis walifanikiwa kumzaa mtoto ambaye baada ya miaka kadhaa kupita alifanikiwa kuwa mwandinga maarufu Jina lake halisi anaitwa Ronaldo lakini wabrazil ili kumtofautisha na Ronaldo...
1 2
Page 1 of 2
Don`t copy text!