Hapa Liverpool ndipo walipoingia kwenye mtego kwa kuzidiwa idadi ya viungo badala ya kuwa 3v3 inakuwa 4v3 ndipo game ilipohamia kwao hasa mpango wa kwanza
Tuchel na vijana wake watalazimika kujilaumu sana sana kutokubadilisha mbinu mara baada ya mabadiliko ya Camavinga ambaye aliongeza kitu kikubwa uwanjani.
Ripoti nchini Italia zimesema kwamba Juventus itakua tayari kumuacha Ronaldo ajiunge tena na Madrid ili kujaribu kupunguza mzigo wa kifedha kwenye klabu unaosababishwa na janga la virusi