Simba walibahatisha kuifunga Ruvu!?
Simba walifanikiwa kuitandika Ruvu bao 3-0 katika mchezo wa Ligi kuu Bara
Kutufungia sisi ni sawa na kumpiga teke Chura- Masau Bwire.
Shirikisho la soka la Tanzania, limevifungia baadhi ya viwanja siku kadhaa kabla ya Ligi kuu kuanza.
Mpepo-‘Tutawapapasa’ wao leo.
Mshambuliaji wa klabu ya Singida United, Eliuter Mpepo, ameongea na tovuti yetu kuelekea mchezo wao dhidi ya Ruvushooting na kusema...