Azam FC hawajui cha kufanya mbele ya pesa zao

Tumewaona As Vita, Al Ahly ambao wana asilimia kubwa ya wachezaji wa ndani katika kikosi chao. Azam FC wanatakiwa kutumia kituo chao kuzalisha wachezaji wa ndani ambao watakuwa na msaada kwenye timu yao.

‘Battle 8’ ninazotarajia kuziona Yanga dhidi ya Simba.

Tangu mwaka 1965, Simba na Yanga wamecheza mechi 101, Yanga akishinda michezo 36, sare 35 na kufungwa mechi 30. Simba akishinda michezo 30, akitoa sare mara 36 na kupoteza michezo 36. Yanga imejikusanyia alama 143 huku Simba ikijikusanyia pointi 125 katika michezo yote 101 waliyokutana, je Simba kupunguza “gap” la alama au Yanga kupanua gap hilo? tukutane taifa.

Stori zaidi