UhamishoChico safari imemkuta, Yacouba ngoma ngumu!Thomas Mselemu1 month agoManara akizungumza na waandishi wa habari leo amesema wao hawataenda "pre season" wakifanya mchujo bali watawaacha wachezaji wawili ili wabaki kumi na mbili.