“Sven Van Den Broeck alituma maombi ya kazi kwetu Baada ya Mwinyi Zahera kutimuliwa , sisi tulimkataa na tulimpomkataa aliamua kuomba kazi kwenye klabu ya Simba Baada ya sisi kumkataa”.
Baada ya Yanga kuonekana ina kasi kubwa kwenye….Stori zaidi.
Balaa la GSM lianzidi kuonekana, limesajili wachezaji wapya….Stori zaidi.
Kukiwa na taarifa ya aliyewahi kuwa kocha mkuu….Stori zaidi.
Harakati za kuijenga Yanga kwenye dirisha dogo la….Stori zaidi.
Muda umepita tangu aliyekuwa kocha wa klabu….Stori zaidi.
Baada ya kuonekana Yanga inasua sua kwenye masuala ya uchumi , GSM anaonekana kama mkombozi mkubwa wa klabu hiyo ambapo anafanya usajili katika maeneo ambayo yanaonekana yanahitaji nguvu.
Kiungo mtaalamu na fundi wa mpira Haruna Niyonzima….Stori zaidi.
Baada ya kuondoka na kwenda upande wa pili….Stori zaidi.
James Kotei anaonekana kuwa katika wakati mgumu Baada ya timu yake ya Kaizer Chiefs kuachana naye . Kuachana na mchezaji huyo kunamfanya awe huru kusajiliwa na timu yoyote kwa makubaliano binafsi.