Ni Stand United, sio Kagera Sugar
Timu mbili ambazo zitacheza playoff (Michezo ya mitoano ) ni Kagera Sugar aliyeshika nafasi ya 18 na Mwadui FC aliyeshika nafasi ya 17.
Timu mbili ambazo zitacheza playoff (Michezo ya mitoano ) ni Kagera Sugar aliyeshika nafasi ya 18 na Mwadui FC aliyeshika nafasi ya 17.
Baada ya mchezo huo kocha mkuu wa Yanga amedai kuwa mechi hiyo ilikuwa ni kama ya kirafiki kwa sababu wachezaji walikuwa wanacheza wanavyojisikia.
“Na mpaka sasa hivi kwenye mikono yake amedai kuwa ana ofa tatu mpaka sasa hivi, hivo tumemwacha aende Afcon, akirudi tutazungumza naye”.
Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Kagera Sugar ya Kagera imeshuka rasmi baada ya kutoka sare moja kwa moja na Mbao.
Mpaka sasa hivi African Lyon ndiyo timu pekee ambayo hatutokuwa nayo kwenye ligi kuu msimu ujao.
Mchezaji huyo wa zamani wa Yanga, amedai kuwa kwa sasa imetosha kwake yeye kuendelea kucheza Afrika na anatafuta changamoto mpya.
Bado anajiona anataka kuendelea kukaa nyumbani, na amekataa kwenda sehemu ambayo inaweza kumwezesha yeye kushinda taji la ligi ya mabingwa barani Afrika.
Kutinyu ameripotiwa kujiunga na Horoya Fc, lakini uongozi wa Azam Fc umekanusha.
Kiungo huyo alikuwa akiitumikia awali timu ya Azam FC. Mpaka sasa haijajulikana makubaliano yoyote yaliyofikiwa
Lakini pia vilabu havina budi kutafuta wadhamini wao wa ndani pia ili kupunguza makali ya uendeshaji wa vilabu.