Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kitivo cha uandishi wa habari. Alijiunga na timu ya kandanda mwishoni mwa mwaka 2018. Anaandika kwa kuchambua kiundani na kutoa elimu tosha katika tasnia ya mpira wa miguu nchini.
Kufika nusu fainali, na kuchuana na vilabu vikubwa kama TP Mazembe, Al ahly na Wydad Casablanca ndiyo yalikuwa malengo ya klabu. Klabu ilitenga bajeti kubwa ili kuhakikisha Simba inachukua
Genk imetupwa katika kundi E ambalo lina vigogo kama Liverpool, Napoli na RB Salzburg. Kundi hili lilicheza michezo yake siku ya Jana Jumanne, Napoli wakiibuka na Ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Liverpool nyumbani, kisha RB Salzburg ikaichapa Genk.
Azam wanatarajiwa kuwavaa Triangle Septemba 28. Katika mchezo huu Azam inatafuta ushindi wa aina yoyote ile, kwa maana kama watapata ushindi mwembamba wa goli 1-0