Uhispania wafanya mabadiliko madogo kwenye michuano yao.
Shirikisho la kandanda nchini Uhispania (RFEF) jana Jumatatu….Stori zaidi.
Shirikisho la kandanda nchini Uhispania (RFEF) jana Jumatatu….Stori zaidi.
Kocha mkuu wa timu ya soka ya Real….Stori zaidi.
Safu ya ushambuliaji ya Simba Sc hakika ipo moto, mpaka sasa imeshafunga mabao 44 katika michezo 27 pekee ya Ligi kuu Tanzania bara.
Simba imemaliza mechi zake katika kanda ya ziwa, hivo wanasafiri na kurudi Dar es Salaam kwa ajili ya kuendelea na kampeni yake ya ligi kuu Tanzania bara.
Ubingwa huu unaifanya Barcelona kufikisha makombe 8 katika miaka 11 sasa.
Simba ni timu bora wametoka kushiriki mashindano ya kimataifa na wamefanikiwa kwa asilimia 60. 70. Kwa hiyo wao ni bora”.
“Sisi ni bora baada ya Simba na Yanga kwa hiyo mashabiki waje kushuhudia mechi nzuri”
Harakati za Simba kumaliza viporo vyake katika kanda ya Ziwa inaendelea tena leo baada ya kucheza mechi tatu katika ƙanda hiyo.
Simba sasa imebakisha mchezo mmoja katika ukanda huo watakaoucheza kesho dhidi ya Biashara United ya Mara.
Unakumbuka tukio la Haji Manara kwenda na TV kwenye mkutano wa waandishi wa habari(press conference?)