Bocco awapiga chini kina Ngoma na Adam wa Prisons.
John Bocco aliukosa mchezo mmoja dhidi ya Ruvu Shooting kutokana na kuwepo kambi ya timu ya Taifa.
John Bocco aliukosa mchezo mmoja dhidi ya Ruvu Shooting kutokana na kuwepo kambi ya timu ya Taifa.
Meneja wa klabu ya soka ya Manchester United….Stori zaidi.
Licha ya kutumia zaidi ya Paundi Milioni 100….Stori zaidi.
Mchezaji kinda wa Juventus Moise Kean jana amekutana….Stori zaidi.
Tazama hapa jinsi mchuano ulivyo mkali kisha toa maoni yako. Je kiatu kitabaki Tanzania kwa wazawa au kitaenda kwa mgeni?
Tazama msimamo wote hapa baada ya michezo miwili ya katikati mwa juma.
Katika muendelezo wa Ligi Kuu Bara (TPL) Azam fc wakiwa nyumbani katika dimba la Nyamagana baada ya kuuchagua kama uwanja wao wa nyumbani.
Liverpool inafukuzana kwa karibu na Manchester City katika kinyang’anyiro hicho ambacho kimebakiza mechi chache sana.
Simba Sc atakuwa akikutana na Mbao Fc katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, pitia kuangalia nini kinaipa nafasi Mbao FC
Simba wapo mji kasoro bahari leo, wakitafuta ushindi muhimu wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania. Kuendelea kuonyesha makali yao?