EPL

EPL

Hatimaye Samatta kucheza EPL wiki ijayo!

Baada ya tetesi nyingi hatimaye Mbwana Samatta amewaaga wachezaji wenzake wa KR Genk kwa ajili ya kujiunga na ligi pendwa duniani , ligi kuu ya England. Hii ilikuwa ndoto ya Watanzania wengi kushuhudia Mtanzania akiwa anacheza kwenye ligi ambayo ni kubwa ligi ambayo inafuatiliwa kwa kiwango kikubwa. Kwa mjibu wa...
EPL

Wachezaji watano waliombeba Arteta jana dhidi ya Manchester United

  Jana Mikel Arteta alipata ushindi wake wa kwanza tangu aichukue Arsenal kama kocha mkuu. Mechi yake ya kwanza ya mashindano ilikuwa dhidi ya AFC Bournamouth alitoka sare kisha akafungwa na Chelsea na jana akashinda dhidi ya Manchester United. Wafuatao ni wachezaji watano waliombeba jana. LACAZETTE Inawezekana kwenye mechi zote...
EPL

Maeneo matatu anayotakiwa kurekebisha ARTETA pale ARSENAL

Tayari Arsenal iko na Mikel Arteta kama kocha mkuu wa Arsenal , kocha ambaye aliwahi kuhudumu pale kama mchezaji kwa muda wa miaka sita (6) anarudi tena Arsenal wakati ambao Arsenal inafanya vibaya , kipi afanye kwa haraka ainasue ? KUCHEZA HIGH DEFENSIVE LINE. Moja ya kitu ambacho Arsenal kwa...
EPL

THIS IS ANFIELD” MINAMINO

  Na Emre Mursal Can ilikua January 19,2018 mida ya saa 2:58 usiku , siku na muda huo nliandika makala iliyomuhusu "the little magician" Philippe coutinho , nilimwambia coutinho nenda ila ukae ukijua "YUPO ATAKAYEPOKEA ULIPOISHIA" baadae nilipokea pongezi nyingi Sana kuhusu makala ile na Kuna shabiki Mmoja alifika mbali...
1 2 3 4 15
Page 2 of 15
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz