Baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii uliopigwa siku ya Jumapili jijini Arusha kuashiria kuanza kwa Ligi Kuu Bara sasa ni rasmi Ligi hiyo inarejea rasmi September 6 Jumapili. Tazama hapa wababe 18 wakaokwenda kunyeshana ubabe katika msimu wa 2020/2021 ambapo Simba sc ndie bingwa mtetezi wa kombe hilo. Nicholaus...
Baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ngao ya Jamii jijini Arusha kikosi chote cha Simba kilipanda ndege kurudi Dar halafu wakaunganisha ndege kwenda Mbeya ili kuiwahi Ihefu.
Kwa kikosi hiki unaona kabisa kazi kubwa inabaki kwa mwalimu Zlatiko na msaidizi wake Mwambusi kuandaa na kutengeneza muunganiko wa wachezaji ili kuleta tija uwanjani
Kitendo hicho kimewafanya Yanga kuachana na kocha huyo na kuamua kurudi tena katika maombi ya mwanzo na kuanza kutafuta kocha mpya haraka iwezekanavyo.
Klabu ya soka ya Simba imecheze michezo miwili ya kirafiki katika uwanja wa Uhuru na kuibuka na ushindi katika michezo yote hiyo ambayo ilifanyika majira ya asubuhi
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz